Jumapili
18 Rabiʻ II 1441
Habari
Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa upanuzi wa jengo la Atabatu Abbasiyya tukufu.
Mradi wa upanuzi wa jengo la Atabatu Abbasiyya tukufu.
Jengo la godauni na sehemu ya mapamboKuweka marumaru katika ukumbi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Sardabu ya Imamu Aljawaad (a.s)Mradi wa kuimarisha na kuweka dhahabu katika sehemu iliyotiwa dhahabu
Zaidi
Khutuba za Ijumaa
Khutuba za Ijumaa
13/12/2019
Marjaa Dini mkuu aongea na wairaq: Leo mpo katika vita kubwa (vita ya islahi) na kumaliza kipindi kirefu cha ufisadi na uzembe katika idara za serikali…
Madhumuni muhimu katika khutuba
- Kabla ya siku chacho tumefanya maadhimisho ya kumaliza miaka miwili tangu kutolewa tangazo la kuwashinda magaidi wa Daesh, baada ya vita kali waliyo pigana wairaq kukomboe miji iliyokua imetekwa na magaidi hao.
- Kwa zaidi ya kipindi cha miaka mitatu wairq wamepata makumi ya maelfu ya mashahidi na wengine wengi kujeruhiwa.
- Wairaq wameandika historia ya utukufu na ushujaa katika kupigania taifa lao.
- Kutokana na tukio hilo takatifu tunawakumbuka mashahidi watukufu walio mwaga damu zao takatifu kwa ajili ya kukomboa taifa hili.
- Tunaziheshimu na kuzinyenyekea sana familia za mashahidi.
- Tunawaheshimu na kuwanyenyekea majeruhi na watu waliopata ulemavu kwenye vita hiyo.
- Tunawaheshimu na kuwanyenyekea wapiganaji waliopo katika uwanja wa vita wanapambana na mabaki ya magaidi wa Daesh.
- Tunaendelea kusisitiza ulazima wa jeshi na vukundi vyote vya wabeba siraha kuwa chini ya serikali kuu.
- Tunaendelea kusisitiza ulazima wa kuboresha maisha katika miji iliyo kombolewa na kuijenga upya pamoja na kuwasaidia kurudi kwenye nyumba zao wakimbizi watukufu.
- Wairaq watukufu mpo katika vita kubwa (vita ya islahi) na kumaliza kipindi kirefu cha ufisadi na uzembe kwenye idara za serikali.
- Marjaa Dini mkuu alikua amesha sema kwenye khutuba ya ushindi iliyo tolewa zaidi ya miaka miwili ya nyuma kua vita hii iliyo chelewa haina tofauti na vita ya magaidi au hii ni kali zaidi.
- Wairaq watukufu walioshinda vita dhidi ya magaiti wanaweza kushinda vita hii iwapo wataratibu vizuri idara zao.
- Kutumia njia za amani ndio sharti kubwa la kushinda katika vita ya islahi.
- Asilimia kubwa ya waandamanaji wanatambua umuhimu wa kuandamana kwa amani na kuacha matendo ya ukatili na vurugu.
- Ni muhimu sana siraha zote kuwa chini ya serikali na kuto ruhusu kikundi chochote kumiliki siraha kwa kisingizio chochote.
- Utulivu wa taifa na kulinda usalama kunategemea swala hilo, tunatarajia mwishoni mwa vita ya islahi jambo hilo pia lifanyike.
- Tunalaani mauwaji na utekaji unao fanyika, likiwemo tukio baya lililofanyika jana katika mji wa Wathaba.
- Tunaomba uchunguzi ufanyike kuwabaini waliofanya jinai hizo na waadhibiwe kwa mujibu wa sheria.
- Tunaomba yasitokee tena yaliyo tokea katika mji wa Wathaba.
- Lazima kila mtu ahakikishe maandamano yanakua ya amani na utulivu.
- Tunaomba mahakama ziwe huru na zitoe adhabu kwa kufuata sheria na kanuni.
- Mtu yeyote asipewe adhabu ispokua baada ya kufuatwa njia za kisheria na kanuni za adhabu.
- Uuwaji, kunyanyasa maiti, kutungika watu (kuningíniza) mambo hayo ni makosa atakaye fanya hivyo anatakiwa aadhibiwe.
السيد احمد الصافي
Khutuba zilizopo
خطبة الجمعة
Tamko la Marjaa Dini mkuu kuhusu matukio ya hivi karibuni katika maandamano. ...
خطبة الجمعة
Marjaa Dini mkuu ameendelea kusisitiza uharamu wa kuwashambulia watu wanaofanya maandamano ya amani na kuacha ...
خطبة الجمعة
Majraa Dini mkuu ameendelea kusisitiza maandamano ya amani na utukufu wa damu ya muiraq. ...
Ziara ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Jina
Barua pepe
Kwaniaba ya
Maktaba ya picha za video
Muhadhara wa Shekh Abdu-Swahibu Twaaiy katika ukumbi wa haram tukufu ya Abbasi mwezi 7 Ramadhani 1439h
Usomaji wa Qur'an tukufu katika Atabatu Abbasiyya siku ya tano
Muhadhara wa Shekh Abdu-Swahibu Twaaiy katika ukumbi wa haram tukufu ya Abbasi mwezi 5 Ramadhani 1439h
Mashindano ya Qur'an ya vikundi awamu ya nne mzunguko wa nne
Muhadhara wa Shekh Abdu-Swahibu Twaaiy katika ukumbi wa haram tukufu ya Abbasi siku ya tatu
Ujumbe wa Alkafeel halaqa ya ishirini na moja
Mashindano ya Qur'an ya vikundi  awamu ya nne mzunguko wa tatu
Muhadhara wa Shekh Abdu-Swahibu Twaaiy katika ukumbi wa haram tukufu ya Abbasi siku ya kwanza
Ujumbe wa Alkafeel halaqa ya ishirini.
Ujumbe wa Alkafeel halaqa ya kumi na tisa
Khutuba ya kwanza ya swala ya Ijumaa ya Allamah Shekh Abdulmahdi Karbalai 17 Shabani 1439h
Khutuba ya pili ya swala ya Ijumaa ya Allamah Shekh Abdulmahdi Karbalai 17 Shabani 1439h
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / hafla ya ufungaji
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kuzawadiwa kwa vituo vya usambazaji vilivyo shiriki katika maonyesho ya vitabu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / hafla ya kutoa zawadi kwa familia za mashahidi wa vyombo vya habari ndani ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha usomaji wa mashairi ndani ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha usomaji wa Qur'an ndani ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / wageni wanatembelea miradi ya Ataba mbili tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha utafiti cha nne
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha utafiti cha tatu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kaswida ya wito wa Aqida
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne /kikao cha usomaji wa Qur'an katika Atabatu Husseniyya tukufu
Kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada awamu ya kumi na nne / kikao cha utafiti cha pili
Kutokana na kufikisha umri wa kuwajibikiwa na sheria: Atabatu Abbasiyya tukufu yafanya hafla ya kuwapongeza wanafunzi wa shule za Ameed…
Maktaba ya picha za mnato