Usajili
Jina :
Barua pepe :
Kwaniaba ya :
Matangazo ya moja kwa moja
Kwa ajili ya Ataba na malalo matakasifu
Panorama za Kafeel
 
20/10/17
Marjaa dini mkuu asema kilicho tokea Karkuk sio ushindi wa upande mmoja dhidi ya mwingine bali ni ushindi wa wananchi wote wa Iraq..
Madhumuni muhimu katika khutuba
Nakala ya khutuba
  • Wote tunafahamu yaliyo jiri hivi karibuni katika uwanja wa kisiasa na kijeshi.
  • Jeshi la Iraq kurudisha udhibiti wake katika mkoa wa Karkuk sio ushindi wa kundi fulani dhidi ya kundi lingine bali ni ushindi wa raia wote wa Iraq.
  • Wananchi wote wana haki ya kuishi kwa amani na utulivu katika taifa hili.
  • Kila mtu ajiepushe kufanya jambo lolote linalo ashiria ubaguzi na mafarakano.
  • Tunawaomba viongozi wa ndugu zetu wapenzi, wakurdi washirikiane na serikali kuu kutatua tatizo lililopo kwa mujibu wa katiba.
 
Habari