Ofisi ya Marjaa dini mkuu: Siku ya Juma Pili itakua siku ya kwana ya mwezi wa Safar..

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa dini mkuu katika mji mtukufu wa Najafu Sayyid Ali Sistani (d,dh), imetangaza kua; Siku ya Juma Mosi ya kesho itakua siku ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Muharam 1439 hijiriyya, na siku ya Juma Pili (22 Oktoba 2017m) ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Safar 1439 Hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: