Ofisi ya Mhesshimiwa Marjaa dini mkuu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani imetangaza kua kesho Juma Tatu (20 Novemba 2017m) itakua siku ya kwanza ya mwezi wa Rabiul-Awwal (1439h).
Hayo yamesemwa katika taarifa iliyo tolewa na ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani na kuufikia mtandao wa Alkafeel, taarifa hiyo imethibitisha kuonekana kwa mwezi mwandamo wa Rabiul-Awwal (1439h).