Kimetoka hivi punde: Kitabu cha (Risala tano za fahari ya wahakiki)

Maoni katika picha
Kimetoka hivi punde, kituo cha turathi za Hilla chini ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibanaadamu katika Atabatu Abbasiyya kimetoa kitabu cha (Risala tano za fahari ya wahakiki) cha Sayyid Muhammad bun Hassan bun Mudhwafari Alhiliy.

Toleo hili ni sehemu ya nakala kale (makhtutwaat) za Hilla zilizo hakikiwa na kuwekewa maelezo na baadhi ya wajumbe wa kamati ya uhakiki katika kituo hicho.

Kitabu kinamaswali na majibu ya masomo tofauti, yamegawanyika katika mtazamo wa risala tano, ambazo ni: (majibu ya maswali ya Naswiriyaat), (majibu ya maswali ya Aamiliyaat), (hadithi arubaini na tatu za Mtume). (majibu ya maswali tofauti: ya kwanza na ya pili).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: