Kiongozi mkuu wa kisheria: Amekagua na kujiridhisha utekelezaji wa masharti ya afya.

Maoni katika picha
Katika mfululizo wa matembezi ya ukaguzi yanayo fanywa na Mheshimiwa kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya na katibu wake mkuu katika kipindi hiki cha kuwasili kwa mamilioni ya watu wanaokuja kufanya ziara ya Arubainiyya, leo Mheshimiwa ametembelea jengo la Shekh Kuleini na vituo vingine vya nje kuangalia utendaji kazi pamoja na utekelezaji wa masharti ya afya na maelekezo ya Marjaa Dini mkuu aliye himiza kuheshimu kanuni za afya.

Mheshimiwa amefuatana na katibu mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu na baadhi ya wajumbe wa kamati kuu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: