Idara ya Quráni inafanya shindano la (Mbora aliyekuja) maalum kwa ajili ya wanawake

Maoni katika picha
Idara ya Quráni chini ya ofisi ya maelekezo ya Dini tawi la wanawake lililo fungamana na ofisi ya katibu mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu inaendesha shindano liitwalo (Mbora aliyekuja) kwa njia ya mtandao, rasmi kwa wanawake tu.

Kiongozi wa idara Ustadhat Fatuma Sayyid Abbasi Mussawi amesema kuwa: “Katika mnasaba wa kuzaliwa Mtume Mtukufu (s.a.w.w) na kuzaliwa kwa mjukuu wake Imamu Jafari Swadiq (a.s), tunaendesha shindano hili lenye maswali thelathini yanayo husu historia ya Mtume na mjukuu wake Swadiq (a.s)”.

Akaongeza kuwa: “Washindi watapewa zawadi, na shindano litaendelea hadi siku ya Alkhamisi, tarehe (5 Novemba)”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: