Shule za Al-Ameed zimetangaza kuwa zinahitaji wahadhiri wa kigeni

Maoni katika picha
Shule za Al-Ameed chini ya kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, zimefungua mlango wa kupokea wahadhiri wa kigeni, ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na kuanza mwaka mpya wa masomo, wahadhiri wanao hitajika ni wa masomo yafuatayo: (Lugha ya kiarabu/ lugha ya kiengereza/ fizikia/ kemiya/ hesabu/ malezi ya kiislamu/ maarifa ya jamii).

Maombi yatumwe kwa njia ya mtandao kupitia link ifuatayo: https://forms.gle/FLhD3Hw2iDuRygNR6 maombi yataanza kupokelewa siku ya Alkhamisi ya tarehe (19/11/2020) hadi siku ya Jumamosi ya tarehe (21/11/2020).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: