Muwakilishi wa Marjaa Dini mkuu amepokea balozi wa umoja wa Ulaya

Maoni katika picha
Muwakilishi wa Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi, amepokea balozi wa umoja wa Ulaya hapa Iraq, bwana Martin Husi na ujumbe aliofuatana nao, baada ya Adhuhuri ya leo siku ya Alkhamisi (9 Rabiul-Aakhar 1442h) sawa na (26 Novemba 2020m) katika Atabatu Abbasiyya tukufu.

Kikao hicho kimehudhuriwa pia na katibu mkuu wa Atabatu Abbasiyya Sayyid Muhammad Ashiqar na baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya uongozi, wamejadili mambo muhimu kuhusu taifa la Iraq katika kipindi hiki.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: