Waziri wa mambo ya ndani ametembelea Atabatu Abbasiyya takatifu

Maoni katika picha
Baada ya Adhuhuri ya Ijumaa mwezi (15 ajamadal-Aakhar) sawa na tarehe (29 Januari 2021m) waziri wa mambo ya ndani Mheshimiwa Sayyid Othumani Ghanimi ametembelea Atabatu Abbasiyya tukufu.

Baada ya kufanya ibada ya ziara na kusoma dua amekutana na mjumbe wa kamati kuu ya Atabatu Abbasiyya Ustadh Jawadi Hasanawi.

Mwisho wa ziara yake Mheshimiwa waziri amepongeza kazi inayofanywa na Atabatu Abbasiyya tukufu ya kuhudumia mazuwaru na wananchi kwenye sekta mbalimbali.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: