Wito wa kushiriki kwenye semina ya Sanaa ya uigizaji

Maoni katika picha
Jumuiya wa Skaut ya Alkafeel chini ya idara ya watoto na makuzi katika kitengo cha habari cha Atabatu Abbasiyya tukufu inatoa wito wa kushiriki kwenye semina ya Sanaa ya uigizaji kwa mabinti wenye umri wa miaka (13 – 18) kwa wale wanaohisi kuwa na kipaji cha uigizaji.

Semina itakua na mihadhara inayolenga kujenga vipaji vya washiriki itakayo tolewa na wabobezi wa fani hiyo, miongoni mwa mihadhara hiyo ni:

  • - Maadili ya uigizaji.
  • - Mifano ya maigizo.
  • - Aina za maigizo.
  • - Vitendo vya muigizaji.
  • - Heshima ya muigizaji.

Washiriki watatunukiwa vyetu vya ushiriki baada ya mtihani wa mwisho, na wale watakao fanya vizuri watapewa zawadi, mshiriki ataweza kupata mihadhara wakati wowote na sehemu yeyote, kuna App itakayo tengenezwa wakati wa semina, na watakao fanya vizuri watachaguliwa kuendelea na semina nyingene ya ngazi ya juu.

Link ya kujisajili na semina: https://forms.gle/tcoS1Fxz6sUakJUT9

Link maalum kwa ajili ya semina: https://t.me/joinchat/_K7qjugDigw0NDVi
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: