Waziri wa mambo ya ndani ametembelea Atabatu Abbasiyya tukufu

Maoni katika picha
Waziri wa mambo ya ndani mheshimiwa Sayyid Athumani Ghanimi baada ya Adhuhuri ya leo mwezi (8 Shabani 1442h) sawa na tarehe (22 Machi 2021m) ametembelea Atabatu Abbasiyya tukufu.

Baada ya kufanya ibada ya ziara na kusoma dua amekutana na katibu mkuu wa Atabatu Abbasiyya na baadhi ya wajumbe wa kamati kuu.

Amesifu ushirikiano mzuri uliopo kati ya Ataba tukufu na vyombo vya ulinzi na usalama, akapongeza kuzi kubwa inayo fanywa na Atabatu Abbasiyya tukufu ya kuwahudumia wananchi katika sekta mbalimbali.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: