Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani imetangaza kuwa Jumatano itakua mwezi mosi Ramadhani

Maoni katika picha
Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji mtukufu wa Najafu imetangaza kuwa kesho siku ya Jumanne tunakamilisha mwezi mtukufu wa Shabani, na siku ya Jumatano sawa na tarehe (14/4/2021m) itakua siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani wa mwaka 1442 Hijiriyya.

Tunakuombeni dua.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: