Washindi kumi na tano katika shindano la maarifa ya turathi kwenye kipengele cha (maswali kwa umma)

Maoni katika picha
Kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu kimepiga kura kwa njia ya mtandao kuwapata washindi wa shindano la maarifa ya turathi katika kipengele cha (maswali kwa umma) kupitia whatssap.

Majibu sahihi yalikua (184) ikabidi kupiga kura ili kupata washindi kumi na tano wafuatao:

 • 1- Saamir Abdul-Abbasi Abdu-Ali.
 • 2- Qassim Kaadhim Abduaun.
 • 3- Ibtisaam Abdulmuhsin.
 • 4- Aliya Abdul-Amiir Sharifu.
 • 5- Hassan Daakhil Alyuwi.
 • 6- Hinaa Abdurishaad Rashidi.
 • 7- Mustwafa Ali Swalehe.
 • 8- Huda Rahimu Salmaan Hitwaab
 • 9- Muhammad Ridhwa Ali.
 • 10- Sajjaad Karim Aaiz.
 • 11- Mustwafa Ali Hussein Muhyi.
 • 12- Jaafari Swaadiq ali Swalehe Asadi
 • 13- Mustwafa Karim Aaswi.
 • 14- Muhammad Fadhili Khadhwiri Hajimi.
 • 15- Karaar Ali Swalehe Asadi.

Tambua kuwa washindi wanaweza kupokea zawadi zao za kutabaruku kutoka kwenye kaburi la Abulfadhil Abbasi (a.s) pamoja na vitabu vilivyo chapishwa na kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu, kwa kwenda katika ofisi za kitengo hicho zilizopo mtaa wa Alqami/ uchoro wa kwanza upande wa kulia kama unaelekea Atabatu Abbasiyya tukufu, au wasiliana nasi kwa simu namba: 07700478555.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: