Kuendelea na mafunzo maalum ya program za komyuta

Maoni katika picha
Kitengo cha uboreshaji na maendeleo endelevu kinaendelea kutoa mafunzo ya kompyuta kwa watumishi, chini ya ratiba maalum ya uendeshaji wa semina.

Mkufunzi wa semina hiyo, Ustadh Nasoro Abdulhussein Alkhafaji amesema kuwa: “Semina inalenga kufundisha watumishi namna ya kutumia kompyuta kwa kutumia program tofauti”.

Akaongeza: “Semina imefanywa kwa muda wa siku tatu, saa mbili kila siku, wamefundishwa program tofauti za kopyuta”.

Tambua kuwa haya ni masomo endelevu kulingana na mahitaji, chini ya kitengo cha uboreshaji na maendeleo endelevu kwa ajili ya kujenga uwezo wa watumishi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: