Chuo kikuu Al-Ameed kinafanya warsha kuhusu misingi ya kutegemeana kitaifa na kimataifa kwa vyuo vya utaktari

Maoni katika picha
Kitivo cha udaktari katika chuo kikuu cha Al-Ameed chini ya kamati ya malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kinafanya warsha kuhusu misingi ya kutegemeana kitaifa na kimataifa kwa vyo vya udaktari vya serikali na binafsi.

Mkufunzi wa warsha ni mjumbe wa kamati ya taifa ya vyuo vikuu vya udaktari Ustadh Faslajah Dimaghi na mkufunzi wa kitivo cha udaktari katika chuo kikuu cha Kufa Dokta Ihsani Muhammad Ajinah.

Warsha imekuwa na ufafanuzi mwingi kuhusu misingi ya kutegemeana kitaifa na kimataifa katika vyuo vya udaktari/ chuo kikuu Al-Ameed kinapewa kipaombele katika swala hili, aidha ni jambo la msingi kwa vyo vyote vya udaktari.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: