Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa kesho siku ya Jumapili tutakamilisha mwezi wa Dhulqaadah, na siku ya Jumatatu sawa na tarehe (12/07/2021m) ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Dhulhijjah 1442h, tunakuombeni dua.