Usajili utafanywa ndani ya ofisi ya Maahadi iliyopo katika mji wa Hilla –barabara ya Kornishi- jirani na Husseiniyya ya Shahidi Haidari mtukufu.
Masharti ya kusajiliwa ni:
- 1- Umri wa mshiriki usizidi miata (25).
- 2- Awe na msingi wa somo la hukumu za usomaji na tajwidi.
- 3- Atume rekodi ya sauti yake isiyozidi dakika mbili kwenye whatssap ya namba zitakazo tajwa hapo chini.
- 4- Awe anaishi Baabil.
- 5- Mwisho wa kusajili ni tarehe 31/07/2021m.
Kwa maelezo zaidi au kutuma rekodi ya sauti tumia namba zifuatazo:
07713081665
07813839528