Daru Rasuul A’adham (s.a.w.w) yatangaza ufafanuzi wa nadwa yake ya kielimu

Maoni katika picha
Daru Rasuul A’adham (s.a.w.w) imetangaza ufafanuzi kuhusu nadwa ya kielimu itakayo fanywa kwa njia ya mtandao, chini ya anuani isemayo: (Shuhuda zisizokuwepo ndani na Qur’ani na kuthibiti kihistoria katika zama za Mtume), itafanywa jioni ya siku ya Ijumaa saa mbili na nusu.

Mzungumzaji wa nadwa hiyo ni ustadh Ammaar Abudi Muhammad Husseini Naswaar, itasimamiwa na Dokta Daudi Salmaan Zubaidi mjumbe wa Daru Rasuul A’adham (s.a.w.w).

Link la kujiunga ni:

https://us02web.zoom.us/j/3740873005

kwa maelezo zaidi piga simu namba (07602323337), tambua kuwa washiriki watapewa nafasi ya kutoa maoni kwa njia ya mtandao mwishoni mwa nadwa kama ilivyo elezwa.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: