Nataka thawabu japokua nipo katika hali hii

Maoni katika picha
Alikua na miaka mitano katika umri wake, anafanya matembezi ya Arubaini toka mika 18 iliyopita, hali ya ulemavu wake haijamzuwia, bali ameandika ujumbe kwenye kiti-mwendo chake usemao (Usisukume ewe zaairu), kwani nataka thawabu katika matembezi haya, alipoulizwa kwa nini ameandika ujumbe huo? Alijibu kuwa: Maisha yote yanakamilika katika njia hii, uwepo wa mwanadamu unatokana na utukufu wa Imamu Hussein (a.s), kwa hiyo hili ndio jambo dogo ninaloweza kufanya la kuhuisha tukio hili adhim.

Hutembea kutoka mkoa wa Dhiqaar hadi Karbala bila kuhisi unyonge kabisa, bali husubiri safari hiyo kila mwaka kwa kifua kipana, ili afikishe ujumbe usemao kwenda kwa Imamu Hussein kunafaida katika maisha ya duniani na kufaulu akhera.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: