Maoni katika picha
Majukumu ya watumishi wake huongezeka pale uhusiano na taasisi za Dini pamoja na wanajamii unapokua mkubwa, tambua kuwa kitengo hiki ni cha Atabatu Abbasiyya tukufu, yenye nafasi kubwa kiimani na katika Dini kwa waislamu wote.
Tangu kilipoanzishwa kitengo cha Dini kimekua na mawasiliano mazuri na jamii, na kinafanya kazi ya kusambaza fikra za Ahlulbait (a.s), kupitia wahudumu waliobobea katika mambo mbalimbali, wenye uwezo mkubwa wa kutekeleza majukumu yao.