Kufanya semina ya kukuza uwezo wa kutumia kompyuta kwa watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu

Maoni katika picha
Kitengo cha uboreshaji na maendeleo endelevu kinatoa kozi ya kompyuta kwa watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu.

Wamefundishwa program ya Excel kwa muda wa siku tatu, saa tatu kila siku, wamesoma mambo muhimu katika program hiyo, na namna ya kuingiza taarifa na ufanyaji kazi wake, pamoja na kuweka michoro na kutumia taarifa zilizopo kwenye program kutoa majibu ya vitu unavyo hitaji, na kufungua na kuchapisha tebo ya taarifa.

Mafunzo yamefungwa kwa kutoa mtihani wa nadhariyya na vitendo, ili kupima mafanikio ya wanasemina.

Kumbuka kuwa kitengo cha uboreshaji na maendeleo endelevu katika Atabatu Abbasiyya, huendesha mafunzo mbalimbali kwa watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: