Tangazo la nafasi za kazi ya ualimu katika shule za Al-Ameed

Maoni katika picha
Kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kinatangaza nafasi za kazi ya ualimu kwa wenye digrii ya lugha ya kifaransa, kwenye shule za Al-Ameed katika mkoa wa Karbala.

Tambua kuwa mwisho wa kupokea maombi ni siku ya Jumatano (10/11/2021m).

Masharti ya muombaji:

  • 1- Awe ni mkazi wa mkoa wa Karbala.
  • 2- Asiwe na mkataba wa kazi serikalini au kwenye mashirika binafsi.
  • 3- Asiwe na ndugu wa daraja la kwanza au la pili anayefanya kazi katika Atabatu Abbasiyya tukufu.

Maombi yatumwe kupitia link ifuatayo:

https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSfY8HFXfYyumTk0aF_Pr5omr7RSAeouO5srdYPrhTAHIVroMw/viewform
tarehe ya majaribio itapangwa rasmi na (kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: