(Kuenea utumiaji wa dawa za kulevya.. sababu zake na suluhisho lake) ni anuani ya nadwa iliyofanywa na chuo kikuu cha Alkafeel

Maoni katika picha
Kitivo cha sheria katika chuo kikuu cha Alkafeel kwa kushirikiana na idara ya mafunzo na elimu endelevu katika chuo kikuu hicho, wamefanya nadwa kwa anuani isemayo (Kuenea utumiaji wa dawa za kulevya kwa vijana wa Iraq.. sababu zake na suluhisho lake).

Mtoa mada katika nadwa hiyo alikua ni mwanafunzi Muhammad Mahadi Abduswahibu na Ghadiri Abbasi wanaosoma mwaka wa pili kitivo cha sheria, mbele ya mkuu wa kitivo na kiongozi wa kitengo cha maelekezo ya kinafsi katika chuo hicho na jopo la wajumbe wa kamati ya wakufunzi wa chuo, bila kusahau mahudhurio makubwa ya wanafunzi wa kitivo cha sheria.

Nadwa ilijikita katika kueleza sababu zinazo pelekea kuenea kwa utumiaji wa dawa za kulevya na njia za kutumia ili kupambana na tatizo hilo, sambamba na kueleza ulazima wa kupambana na dawa za kulevya.

Kumbuka kuwa chuo kikuu cha Alkafeel hufanya nadwa na warsha za kielimu zinazo husu mambo mbalimbali ya kibinaadamu,
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: