Sajili jina lako kwa ajili ya kumzuru Ummul-Banina (a.s)

Maoni katika picha
Idara ya teknolojia na taaluma za mitandao chini ya kitengo cha habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu, imetangaza kufanya ibada ya ziara ya bibi Ummul-Banina (a.s) Jirani na kaburi lake tukufu huko Bakii katika mji wa Madina kwenye kumbukumbu ya kifo chake (a.s) kwa niaba ya kila atakaejiandikisha.

Usajili unafanywa kupitia mtandao maalum wa ziara kwa niaba kupitia link ifuatayo: https://alkafeel.net/zyara/

Ziara zitafanywa na waumini wa kujitolea wanao ishi katika mji wa Madina, watafanya ziara maalum, swala ya rakaa mbili kwa nia ya kukidhiwa haja na kurahisisha mambo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: