Kukamilika kwa maandalizi ya ufunguzi wa vituo vya kijana mzalendo wa Alkafeel

Maoni katika picha
Kitengo cha mahusiano kimekamilisha maandalizi ya ufunguzi wa vituo vya kijana mzalendo wa Alkafeel kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na shule za Iraq.

Vituo hivyo vinasimamiwa na idara ya mahusiano ya vyuo na shule za Iraq, chini ya mradi wa kijana mzalendo wa Alkafeel, kwa mujibu wa maelezo ya kiongozi wa idara hiyo bwana Maahir Almayahi.

Akaongeza kuwa “Hafla ya ufunguzi itafanywa jioni ya Jumamosi, saa kumi na mbili jioni mkabala na chuo kikuu cha Al-Ameed”.

Akafafanua kuwa “Kutakua na vituo (20) vya kutoa maelekezo mbalimbali ya kidini pamoja na kufanya mashindano ya kielimu katika kipindi cha ziara ya Arubaini”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: