Msafara wa Saaqi umetangaza ratiba mpya ya safari ya Umra

Msafara wa Saaqi chini ya kitengo cha utalii wa kidini umetangaza ratiba mpya ya safari ya Umra na kuzuru kaburi la Mtume (s.a.w.w) kwa mwaka 1444h sawa na 2022m.

Msafara unatoa huduma bora wakati wa kutekeleza ibada ya ziara, unatumia basi za kisasa zenye viyoyozi kuanzia Karbala hadi Madina na Maka kwenda na kurudi.

Kuweka buking ya safari au kupata maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba:

07801952463

07602283026

07704446440

Namba ya simu ya mkuu wa msafara: 07709019939

Ofisi kuu/ Karbala – Mlango wa Bagdad – Hoteli ya zamani ya Aljazirah – karibu na kituo cha Alqamaru.

Tawi la kwanza/ Mlango wa Kibla kwenye malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: