Program yakuwajengea uwezo watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu katika maswala mbalimbali inaendelea.
Program hiyo inasimamiwa na kuendeshwa na kitengo cha uboreshaji na maendeleo endelevu.
Kitengo hicho kimesema kuwa “Program inamambo mengi kulingana na ratiba ya watumishi, inakipengele cha mihadhara, mashindano na ziara mbalimbali”.
Akaongeza kuwa, Program inalenga kujenga uwezo wa watumishi katika mambo tofauti.
Ikasisitizwa kuwa, program inadumu kwa muda wa siku tano katika wiki kwa kila kukundi, watumishi wote wa Atabatu Abbasiyya wanatarajiwa kuguswa na program hii.









