Kuhitimisha vikao vya kitafiti katika kongamano la kielimu la Al-Ameed awamu ya sita

Kongamano la Al-Ameed awamu ya sita limehitimisha vikao vyake vya tafiti za kielimu katika Atabatu Abbasiyya tukufu asubuhi ya leo siku ya Ijumaa.

Kikao cha tatu na cha mwisho kimefanya ndani ya ukumbi wa Imamu Hassan (a.s) na mada zifuataza zimejadiliwa:

  • - Vyombo vya Habari na ugaidi changamoto ya mahusiano na nyenzo za athari - Dkt. Muhammad Hassan Dakhiil/ Dkt. Zaharaa Ali Dakhiil.
  • - Wajubu wa watangazaji wa Habari katika kupotosha ukweli - Dkt. Haidari Naaji Twahir Salmani.
  • - Vita vya kisaikolojia na changamoto ya uvumi wa mitandao ya kijamii – Dkt. Nizaat Naaji Muhammad.
  • - Vyombo vya Habari na kupambana na ugaidi wa kwenye mitandao – Haidari Karim Abdurazaaq.
  • - Kupanga vipaombele katika mambo ya kijamii na kwenye mitandao ya mawasiliano ya kijamii kwenye vyombo vya Habari vya Sirya na mitandao ya kijamii katika tafiti za kinaswara – Dkt. Ahmadi Ali Sha’rawi.

Kikao cha pili kikafanywa ndani ya ukumbi wa Qassim (a.s) kwa lugha ya kiengereza na zikajadiliwa mada zifuatazo:

1- MEDIA: A SOFT WEAPON USED BY TERRORISM- Dr. Safa Mahdi Ubeid Al-Waali
2- Verbatim Theater: - a Study of David Hare's Stuff Happens and Anna Smith's Fires - in The Mirror - Prof. Dr Ansam R. Abdullah Al-Maaroof
3- The Role of Imagination in Children Poetry - Dr. Rudaina Abdulrazzaq Mohammed
4- The Conversational Strategies in Religious Discourse to Face Misleading Media - Inst. Dr. Adawyia Sattar Abood
5- The Language of the Glorious Quran and the Sustainability of Objective Media - Asst. Dr. Waleed Ridha Ham-moodi Al-Jwaid
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: