Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa kesho siku ya Jumamosi ni mwezi mosi Jamadal-Ula

Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kuwa siku ya Jumamosi ya kesho sawa na tarehe (26/11/2022m) ni siku ya kwanza katika mwezi wa Jamadal-Ula mwaka wa 1444 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: