Maktaba ya Ummul-Banina (a.s) ya wanawake chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya imeshiriki kwenye maonyesho ya vitabu katika chuo kikuu cha Al-Ameed.
Tawi la maktaba miongoni mwa vitabu kinavyo onyesha ni machapisho yake, likiwemo jarida la Riyaadhu-Zaharaa (a.s), na vipeperushi, kama vile kipeperushi cha (Almashakaatu), machapisho yote yanaonyeshwa katika utaratibu mzuri.
Ushiriki huu ni sehemu ya kutangaza maktaba, na kubainisha huduma inazotoa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na makundi mengine.
Maonyesho hayo yanafanywa pembezoni mwa tamasha la (siku ya chuo) katika kuadhimisha mwaka wa tano toka kuanzishwa kwa matawi (60), na yataendelea kwa muda wa wiki nzima.



