Nafasi za kazi katika Atabatu Abbasiyya tukufu

Idara ya taaluma katika Atabatu Abbasiyya tukufu, imetangaza nafasi za kazi kwa wahitimu wa bachela na masta.

Wanaohitajika ni wahitimu wa fani zifuatazo: (Uchumi, Malezi na saikolojia, Hesabu, Habari, Usimamizi, Mahusiano), tutawalisiana na muombaji kupitia namba ya simu itakayowekwa kwenye barua ya maombi.

Masharti ya muombaji:

  • Awe na tabia njema, asiwe aliwahi kuhukumiwa kwa kosa la jinai.
  • Awe tayali kutoa huduma katika Ataba tukufu.
  • Awe na uzowefu wa kazi yake, athibitishe uzowefu wake kwa vielelezo.
  • Asiwe ameajiriwa sehemu nyingine.
  • Asiwe na ndugu wa karibu anayefanya kazi katika Ataba mbili Husseiniyya na Abbasiyya.
  • Awe na umri kati ya miaka (18 – 40).

Tunapokea maombi kwa muda wa siku (6) kuanzia siku ya Jumamosi ya tarehe (28/01/2023m) hadi Alkhamisi ya tarehe (02/02/2023m) kupitia link ifuatayo:

https://alkafeel.net/jobs
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: