Maktaba ya Ummul-Banina (a.s) ya wanawake inafanya shindano la (jua la mutawalishaji) la kimtandao

Maktaba ya Ummul-Banina (a.s) ya wanawake chini ya Atabatu Abbasiyya inafanya shindano kwa njia ya mtandao kufuatia maadhimisho ya watukufu waliozaliwa katika mwezi wa Shabani.

Shindano litaanza tarehe (15/Shabani/1444h) hadi tarehe (25 ya mwezi huo), washindi watapatikana kwa njia ya kura.

Shindano hili ni maalum kwa ajili ya wanawake tu, mshiriki anatakiwa kuwa na miaka (15) na kuendelea.

Viwango vya zawadi kwa washindi ni: mshindi wa kwanza dinari za Iraq (100,000), mshindi wa pili dinari za Iraq (75,000) na mshindi wa tatu dinari za Iraq (50,000).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: