Kituo cha utamaduni wa familia kimetangaza kutoa mhadhara kwa njia ya mtandao kuhusu furaha ya ndoa.

Kitengo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya, kimetangaza kutoa mhadhara kwa njia ya mtandao wenye anuani isemayo (Lugha za mapenzi na furaha ya ndoa).

Mhadhara utarushwa kupitia jukwaa la (Telegram) siku ya Jumamosi sawa na tarehe (17/06/2023m) saa 5 asubuhi, utakuwa na mada nyingi.

Miongoni mwa mada hizo ni:

  • - Tambua lugha za mapenzi.
  • - Maelezo ya athari za lugha ya mapenzi na furaha ya wanandoa.
  • - Tambua tofauti ya akili ya mwanaume na mwanamke.

Unaweza kushiriki kupitia link ifuatayo.

https://t.me/alecture1
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: