Kituo cha habari katika Atabatu Abbasiyya, kimepiga picha za juu ya malalo mawili takatifu, malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na maeneo yanayo zunguka malalo hizo jioni ya mwezi kumi na tisa Safar.
mamilioni ya watu wanaendelea kufanya ziara ya Arubaini ya Imamu Hussein (a.s).
jumatano ya kensho ndio kilele cha ziara ya Arubaini