Kituo cha utamaduni wa familia kimetangaza majina ya washindi wa shindano la (Masiratul-Atwaa) la kimtandao, baada ya kupiga kura kwa wenye majibu sahihi.
wafuatao ndio washindi baada ya kupiga kura:
mshindi wa kwanza: Fatuma Abduljaliil Abbasi/ kutoka Najafu Ashrafu.
mshindi wa pili: Zaharaa Mahadi Swalehe/ kutoka Karbala takatifu.
mshindi wa tatu: Subhi Ibrahim Muhammad/ kutoka Baabil.
kituo kinawataka washindi wawasiliane nasi kwa njia ya Telegram kwa ajili ya kupokea zawadi zao.
link ya telegram ni: https://t.me./Thaqafaasria
haki ya kupewa zawadi itaisha baada ya kupita mwezi mzima bila kuwasiliana nasi kuanzia siku yaliyotangazwa majina ya washindi.