Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kinaendesha shindano la kitamaduni lenye anuani isemayo (Nuru imeondoka).
Shindano hilo linafanywa sambamba na maombolezo ya kifo cha mmbora wa wanawake wa duniani bibi Fatuma Zaharaa (a.s) kwa mujibu wa riwaya ya pili.
Muda wa shindano ni siku nne, kuanzia tarehe (25/11/2023) hadi (28/11/2023).
Watapatikana washindi watatu kwa njia yakura miongoni mwa wenye majibu sahihi.
Kwa anaependa kushiriki kwenye shindano hili ajiunge kupitia link ifuatayo:
https://forms.gle/6ExBdskZozYt2Cf17