Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Ijumaa ya kesho ni siku ya kwanza katika mwezi wa Jamadal-Aakhirah.

Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Muheshimiwa Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, amesema kuwa Ijumaa ya kensho 15/12/2023m itakuwa siku ya kwanza ya mwezi wa Jamadal-Aakhirah 1445h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: