Rais wa wahariri wa jarida la Msimu amepongeza kazi zinazofanywa na kitengo cha Habari na utamaduni katika sekta ya kutunza turathi.

Rais wa wahariri wa jarida la Msimu wa turathi linalochapishwa nchini Holand Dokta Muhammad Saidi Twarifi, amepongeza kazi zinazofanywa na kitengo cha Habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya kwenye sekta ya kutunza turathi na nyaraka za vielelezo.

Ziara hiyo inalenga kuangalia kazi zinazofanywa na kituo cha upigaji picha nakala-kale na faharasi chini ya kitengo, Pamoja na machapisho yake na kazi kubwa wanayofanya kwa ajili ya watafiti.

Mwisho wa ziara hiyo Twarihi ametoa shukrani nyingi kwa kiongozi mkuu wa kisheria katika Ataba tukufu na uongozi mkuu wote, kwa kuanzisha kituo hiki cha kielimu na kitamaduni ambacho kimechapisha vitabu vingi muhimu na kuandaa makongamano na nadwa zinazo husu turathi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: