Chuo kikuu cha Alkafeel kimefanya hafla ya wahitimu wa awamu ya (14) miongoni mwa wanafunzi wa kitivo cha uhandisi.

Chuo kikuu cha Alkafeel kimefanya hafla ya wahitimu wa awamu ya (14) miongoni mwa wanafunzi wa kitivo cha uhandisi.

Hafla ilikuwa na ratiba mbili kuu hapo chuoni, kulikua na ratiba ya asubuni na nyingine ya jioni, imehudhuriwa na rais wa chuo Dokta Nuris Shahidi Dahani, makamo wa kitengo cha taaluma Dokta Nawaal Aaid Almayali, mkuu wa kitivo cha uhandisi na mkufunzi Ali Jasaam Al-Aamiriy.

Zikapigwa picha za ukumbusho kwa wahitimu wakati wa hafla, kwa lengo la kubakiza kumbukumbu hiyo katika hisia za wanachuo na kuonyesha umuhimu wa tukio hilo katika Maisha ya shuleni na kazini.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: