Kitengo cha Habari na utamaduni kimeshiriki kwenye nadwa ya kitamaduni katika chuo kikuu cha Waasit.

Kitengo cha Habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya kimeshiriki kwenye nadwa ya kitamaduni inayofanywa katika chuo kikuu cha Waasit.

Kitengo kimeshiriki kwenye nadwa hiyo kupitia kituo cha kitamaduni Multaqal-Qamaru kilicho chini yake, kimetoa mihadhara miwili kuhusu umuhimu wa vijana na nafasi yao katika jamii na umuhimu wa kuendeleza uwezo wa vijana, mihadhara hiyo imewasilishwa na Shekhe Haarith Daahi kutoka chuo cha sayansi na kilimo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: