Sayyid Sistani amepokea familia ya Shahidi wa Lebanin Mtoto Amal Dura

Muheshimiwa Marjaa-Dini mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani amepokea familia ya mtoto kutoka Lebanon Amal Dura, aliyeuawa kutokana na shambulizi la Israeel kusini mwa Lebanon hivi karibuni.

Muheshimiwa ameitaka familia kuwa na Subira, akawaombea baraka, kheri na Mwenyezi Mungu awalinde na kila baya raia wa Lebanon hususan wanaoishi kusini mwa nchi.

Sayyid Sistani akalaani vita ya kimbari (maangamizi) inayoendelea Palestina katika mji wa Gaza, akasikitishwa sana ulimwengu kushindwa kusimamisha vita hiyo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: