Ofisi ya Marjaa-Dini mkuu Muheshimiwa Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Alkhamisi ya kensho tunakamilisha mwezi wa Shawwal.
Ofisi imesema, Alkhamisi ya kesho tunakamilisha mwezi wa Shawwal na siku ya Ijumaa (10/05.2024m) ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Dhulqaadah mwaka 1445h.