Idara ya Dini tawi la wanawake inafanya mashindano ya wasichana.

Idara ya Dini tawi la wanawake katika Atabatu Abbasiyya, inafanya mashindano ya wasichana katika kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Fatuma Maasumah (a.s).

Shindano limesimamiwa na idara ya Habari na harakati.

Watumishi wa idara wameuliza maswali kuhusu utukufu wa Bibi Fatuma Maasumah.

Shindano limeandaliwa makhsusi kwa mabinti, kwani wanatakiwa kufuata mwenendo wake mtukufu na kutambua umuhimu wa kuhuisha tukio hili, washiriki wameonyesha umuhimu wa shindano.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: