Kitengo cha kusimamia haram kimegawa pipi kwa mazuwaru katika kuadhimisha mazazi ya Imamu Ridhwa (a.s).

Kitengo cha kusimamia haram tukufu katika Atabatu Abbasiyya, kimegawa pipi kwa mazuwaru katika kuadhimisha mazazi ya Imamu Ridhwa (a.s).

Makamo rais wa kitengo Sayyid Zainul-Aabidina Quraishi amesema “Wahudumu wetu wamegawa pipi kwa mazuwaru wa malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) katika kuadhimisha mazazi ya Imamu Ali bun Mussa Ridhwa (a.s)”.

Akaongeza kuwa “Katika kila tukio la kuadhimisha mazazi ya Maimamu watakasifu (a.s) kitengo chetu hugawa marashi, mauwa na pipi kwa mazuwaru wa mwezi wa familia (a.s)”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: