Kitengo cha habari kimetoa chapisho la 495 katika jarida la Swada-Raudhatain

Kitengo cha habari katika Atabatu Abbasiyya kimetoa chapisho la 495 katika jarida la Swada-Raudhatain.

Jarida limeandika mafanikio ya Atabatu Abbasiyya na harakati za vitengo vyake, nalo ni chapisho la kwanza katika historia ya Ataba tukufu (hutoka katikati ya kila mwezi) linachapishwa na idara ya habari za maandishi chini ya kitengo.

Toleo hili linakurasa 84, limeandika matukio yaliyofanywa na Atabatu Abbasiyya tukufu na kuangazia mikutano na makongamano ya kidini yaliyofanywa.

Jarida limesheheni Makala na tafiti mbalimbali kuhusu mambo ya kielimu na kitamaduni yanayoikumba jamii ya waislamu wa Iraq.

Jarida linakurasa nyingi, zimeandika mambo muhimu yanayohusu vitengo vya Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: