Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Jumanne ya kesho ni siku ya kwanza ya mwezi wa Jamadal-Aakhar.

Ofisi ya Marjaa-Dini mkuu Muheshimiwa Sayyid Ali Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa kesho siku ya Jumanne (3/12/2024m) itakua siku ya kwanza ya mwezi wa Jamadal-Aakhar mwaka 1446 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: