Maelfu ya mazuwaru wamemiminika kwenye malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) katika mji wa Karbala kuhuisha usiku wa Ijumaa.
Idadi kubwa ya waumini wamekuja kufanya ziara katika Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya ukiwa ni utamaduni wa kidini uliozoweleka kwa wafuasi wa Ahlulbait (a.s).
Atabatu Abbasiyya tukufu imeandaa mazingira mazuwari ya kufanya ziara kwa amani na utulivu.