Makundi ya mazuwaru wanahuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)

Mji wa Karbala umeshuhudia makundi makubwa ya mazuwaru waliokuja kuhuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Mji wa Karbala hupokea idadi kubwa ya watu wanaokuja kufanya ziara katika malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) sambamba na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).

Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia vitengo vyake hufanya kila iwezalo katika kuhudumia mazuwaru.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: