Mji wa Karbala imeshuhudia makundi makubwa ya mazuwaru waliokuja kuhuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Mji wa Karbala hupokea idadi kubwa ya mazuwaru wanaokuja kufanya ziara mbele ya malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuhuisha utii wao kwa Ahlulbait (a.s).
Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia vitengo vyake hutoa huduma mbalimbali kwa mazuwaru.




